Ruka hadi Yaliyomo
AfroCave

13. Kiapo cha Uaminifu kwa Katiba Hii

Katika tarehe ya kutekelezwa kwa Katiba hii, Rais na afisa yeyote wa Serikali, au mtu yeyote ambaye kabla ya tarehe ya kutekelezwa , alikuwa amekula kiapo ama kukubali kama ilivyo katika kiapo cha uaminifu ili kuchukua afisi chini ya Katiba ya awali, au anatakiwa kula kiapo au kukubali kuchukua afisi chini ya Katiba hii, ataapa na kukubali chini ya Katiba hii.