Mchakato wa Uchaguzi nchini Kenya
Mchakato wa uchaguzi nchini Kenya ni mchakato endelevu, lakini kilele cha mchakato huo ni uchaguzi mkuu.
Jinsi ya Kuweka Alama kwenye Karatasi ya Kura
Ni muhimu kwa mpiga kura kujua jinsi ya kuweka alama kwenye karatasi ya kura nchini Kenya katika uchaguzi wowote.