Kifungu 228. Msimamizi wa Bajeti
Msimamizi wa Bajeti atasimamia utekelezaji wa bajeti ya kitaifa na bajeti za serikali za kaunti.
Msimamizi wa Bajeti atasimamia utekelezaji wa bajeti ya kitaifa na bajeti za serikali za kaunti.
Kutakuwa na Mkaguzi Mkuu wa Mahesabu atakayependekezwa na Rais, kuidhinishwa na Baraza la Kitaifa na kuteuliwa na Rais.
Tume ya Mishahara na Kuzawidi itaweka viwango na kudhibiti mishahara na marupurupu ya maafisa wote wa serikali
Benki Kuu ya Kenya inawajibikia kuelekeza sera za kifedha, kudumisha udhabiti wa bei, kutoa sarafu na kutekeleza majukumu mengine.