Ruka hadi Yaliyomo

(a) Bendera ya Taifa

Bendera ya Taifa
Bendera ya Taifa

Tanbihi– Vipimo vyote vilivyotolewa haviwakilishi urefu au upana wowote na hivyo vinawiana tu.

Maelezo–

Mistari mitatu mikubwa yenye upana sawa yenye rangi nyeusi, nyekundu, na kijani kutoka juu hadi chini na kutenganishwa na mistari myembamba myeupe, yenye ngao linganifu na mishale myeupe iliyowekwa juu katikati ya bendera.