(a) Bendera ya Taifa
Mistari mitatu mikubwa yenye upana sawa yenye rangi nyeusi, nyekundu, na kijani kutoka juu hadi chini na kutenganishwa na mistari myembamba myeupe.
Kifungu cha 9 (2).
Mistari mitatu mikubwa yenye upana sawa yenye rangi nyeusi, nyekundu, na kijani kutoka juu hadi chini na kutenganishwa na mistari myembamba myeupe.
Amkeni ndugu zetu. Tufanye sote bidii. Nasi tujitoe kwa nguvu. Nchi yetu ya Kenya, Tunayoipenda. Tuwe tayari kuilinda.
Ngao ya serikali ina simba wawili, ishara ya ulinzi, kushikilia mikuki na ngao ya jadi ya Afrika Mashariki.
Mwonekano unaotengenezwa kwa kifaa fulani kwa kutumia kipande cha chuma au kitu kingine kigumu, kinachotunzwa na kutumiwa na mamlaka ya umma.