Kifungu 91. Kanuni za Kimsingi kwa Vyama vya Kisiasa
Kila chama cha kisiasa kitakuwa na sifa za kitaifa kama inavyopendekezwa na Sheria ya Bunge.
Kifungu 92. Sheria ya Vyama vya Kisiasa
Bunge litatunga sheria ambayo itatoa majukumu na utendakazi wa vyama vya kisiasa.