Ruka hadi Yaliyomo
AfroCave

Kifungu 142. Muhula wa Afisi ya Rais

(1) Rais atachukua mamlaka ya afisi yake kuanzia tarehe aliyoapishwa, na kukamika wakati ambapo Rais mpya mteule atakapoapishwa kwa mujibu wa Kifungu cha (136) (2) (a).

(2) Hakuna Rais atakayeongoza kwa muhula wa zaidi ya vipindi viwili.