Ruka hadi Yaliyomo
AfroCave

Kifungu 130. Mamlaka Kuu ya Kitaifa

(1) Mamlaka kuu ya kitaifa ya Jamhuri ya Kenya inamhusisha Rais, Naibu wa Rais na Baraza lote la Mawaziri.

(2) Muundo wa mamlaka kuu ya kitaifa utaakisi tofauti za kimaeneo na kikabila za watu wa Kenya.