Kifungu 121. Idadi ya Wabunge Katika Vikao Idadi katika Bunge itakuwa– (a) wabunge hamsini katika Baraza la Kitaifa; (b) wabunge kumi na tano katika Seneti.