Ruka hadi Yaliyomo
AfroCave
    • Bajeti
    • Kaunti
    • Kitaifa
    • Siasa
    • Shirika
    • Katiba
  • Bajeti
  • Utawala▾
    • Kaunti
    • Kitaifa
    • Siasa
  • Shirika
  • Katiba
Tafuta Katiba Tafsiri:
  • sw▾
    • English
    • Swahili

Mwanzo » Katiba » Sura ya Nane - Bunge » Sura ya Nane - Sehemu ya 2. Uhusika na Uanachama wa Bunge » Kifungu 105. Kutathmini Maswali Kuhusu Ubunge

Kifungu 105. Kutathmini Maswali Kuhusu Ubunge

(1) Mahakama Kuu itasikiliza na kuamua kuhusu lalamiko lolote la iwapo–

  • (a) mtu amechaguliwa kama mbunge kwa njia halali; au
  • (b) iwapo kiti cha mbunge kimekuwa wazi.

(2) Malalamiko yaliyotajwa katika ibara ya (1) yatasikilizwa na kuamuliwa katika muda wa miezi sita kutoka tarehe ya kuwasilishwa kwa malalamiko.

(3) Bunge litatunga sheria kutoa utekelezaji kamili wa Kifungu cha hiki.

  • « Kifungu 104. Haki ya Kumwondoa Mamlakani Mbunge
  • Kifungu 106. Maspika na Manaibu Spika wa Bunge »

Makala Zaidi:

  • Sura ya Kwanza - Mamlaka ya Wananchi na Ukuu wa Katiba Hii
  • Sura ya Pili - Jamhuri
  • Sura ya Tatu - Uraia
  • Sura ya Nne - Sheria ya Haki
  • Sura ya Tano - Arthi na Mazingira
  • Sura ya Sita - Uongozi na Maadili
  • Sura ya Saba - Uwakilishi wa Watu
  • Sura ya Nane - Bunge
  • Sura ya Tisa - Mamlaka Kuu ya Serikali
  • Sura ya Kumi - Mahakama
Jifahamishe!

Jiunge na jarida letu kisha tufuate kwa mitandao ya kijamii.

Jarida

Usajili ni Bure!

Twitter

Tufuate Twita!

Facebook

Tupende Facebook!

  • Kuhusu
  • Wasiliana
© 2019-2022 AfroCave.