Ruka hadi Yaliyomo
AfroCave

Kifungu 100. Kukuza Uwakilishi wa Makundi Yaliyotengwa

Bunge litatunga sheria kuimarisha uwakilishwaji Bungeni wa-

  • (a) wanawake;
  • (b) watu wenye ulemavu;
  • (c) vijana;
  • (d) makabila na wengine walio wachace; na
  • (e) jamii iliyotengwa.