Ruka hadi Yaliyomo
AfroCave

Kifungu 84. Wagombea Uchaguzi na Vyama vya Kisiasa Kuzingatia Kanuni za Upigaji Kura

Katika kila uchaguzi, wagombea uchaguzi wote na vyama vyote vya kisiasa vitazingatia kanuni za upigaji kura zilizowekwa na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka.