Kifungu 72. Sheria Kuhusu Mazingira Bunge litatunga sheria ya utekelezaji kamili wa masharti ya Sehemu hii.