Ruka hadi Yaliyomo
AfroCave

Kifungu 64. Ardhi ya Kibinafsi

Ardhi ya kibinafsi inajumuisha–

  • (a) ardhi yoyote iliyosajiliwa na inayomilikiwa na mtu yeyote chini ya umilikaji ardhi bila masharti;
  • (b) ardhi inayomilikiwa na mtu yeyote kwa kukodisha; na
  • (c) ardhi yoyote nyingine iliyotangazwa kuwa ya kibinafsi chini ya Sheria ya Bunge.