Ruka hadi Yaliyomo
AfroCave
    • Bajeti
    • Kaunti
    • Kitaifa
    • Siasa
    • Shirika
    • Katiba
  • Bajeti
  • Utawala▾
    • Kaunti
    • Kitaifa
    • Siasa
  • Shirika
  • Katiba
Tafuta Katiba Tafsiri:
  • sw▾
    • English
    • Swahili

Mwanzo » Katiba » Sura ya Nne - Sheria ya Haki » Sura Ya Nne - Sehemu ya 3 - Utekelezaji Mahususi wa Haki » Kifungu 57. Wazee Katika Jamii

Kifungu 57. Wazee Katika Jamii

(1) Serikali itachukua hatua kuhakikisha haki za wazee–

  • (a) kushiriki kikamilifu katika masuala ya jamii;
  • (b) kutafuta maendeleo ya kibinafsi;
  • (c) kuishi kwa hadhi na heshima na kuwa huru dhidi ya dhuluma;
  • (d) kupata malezi ya kufaa na msaada kutoka kwa familia zao na Serikali.
  • « Kifungu 56. Makundi Yaliyotengwa na Kubaguliwa
  • Kifungu 58. Hali ya Hatari »

Makala Zaidi:

  • Sura ya Kwanza - Mamlaka ya Wananchi na Ukuu wa Katiba Hii
  • Sura ya Pili - Jamhuri
  • Sura ya Tatu - Uraia
  • Sura ya Nne - Sheria ya Haki
  • Sura ya Tano - Arthi na Mazingira
  • Sura ya Sita - Uongozi na Maadili
  • Sura ya Saba - Uwakilishi wa Watu
  • Sura ya Nane - Bunge
  • Sura ya Tisa - Mamlaka Kuu ya Serikali
  • Sura ya Kumi - Mahakama
Jifahamishe!

Jiunge na jarida letu kisha tufuate kwa mitandao ya kijamii.

Jarida

Usajili ni Bure!

Twitter

Tufuate Twita!

Facebook

Tupende Facebook!

  • Kuhusu
  • Wasiliana
© 2019-2022 AfroCave.