Ruka hadi Yaliyomo
AfroCave

Kifungu 48. Uwezo wa Kufikia Haki

Serikali itahakikisha uwezekano wa watu wote kufikia haki na malipo yoyote yakihitajika, yatakuwa ya kufaa na hayatazuia uwezekano wankutendewa haki.