Ruka hadi Yaliyomo
AfroCave
    • Bajeti
    • Kaunti
    • Kitaifa
    • Siasa
    • Shirika
    • Katiba
  • Bajeti
  • Utawala▾
    • Kaunti
    • Kitaifa
    • Siasa
  • Shirika
  • Katiba
Tafuta Katiba Tafsiri:
  • sw▾
    • English
    • Swahili

Mwanzo » Katiba » Sura ya Nne - Sheria ya Haki » Sura ya Nne - Sehemu ya 2. Haki na Uhuru wa Kimsingi » Kifungu 39. Uhuru wa Kutembea na Makaazi

Kifungu 39. Uhuru wa Kutembea na Makaazi

(1) Kila mtu ana haki ya uhuru wa kutembea.

(2) Kila mtu ana haki ya kuondoka nchini Kenya.

(3) Kila mwananchi ana haki ya kuingia, kubaki na kuishi kokote nchini Kenya.

  • « Kifungu 38. Haki za Kisiasa
  • Kifungu 40. Ulinzi wa Haki ya Kumiliki Mali »

Makala Zaidi:

  • Sura ya Kwanza - Mamlaka ya Wananchi na Ukuu wa Katiba Hii
  • Sura ya Pili - Jamhuri
  • Sura ya Tatu - Uraia
  • Sura ya Nne - Sheria ya Haki
  • Sura ya Tano - Arthi na Mazingira
  • Sura ya Sita - Uongozi na Maadili
  • Sura ya Saba - Uwakilishi wa Watu
  • Sura ya Nane - Bunge
  • Sura ya Tisa - Mamlaka Kuu ya Serikali
  • Sura ya Kumi - Mahakama
Jifahamishe!

Jiunge na jarida letu kisha tufuate kwa mitandao ya kijamii.

Jarida

Usajili ni Bure!

Twitter

Tufuate Twita!

Facebook

Tupende Facebook!

  • Kuhusu
  • Wasiliana
© 2019-2022 AfroCave.