Ruka hadi Yaliyomo
AfroCave

Kifungu 37. Mikutano, Maandamano, Migomo na Malalamiko

Kila mtu ana haki, bila haja ya kuomba ruhusa, ya kukutana, kuandamana, kugoma, na kuwasilisha malalamiko yake kwa mamlaka ya umma ila tu afanye hivyo kwa amani na bila kutumia silaha.