Kifungu 28. Hadhi ya Binadamu Kila mtu anamiliki heshima ya kuzaliwa kama binadamu na haki ya kutaka hali hii iheshimiwe.