Ruka hadi Yaliyomo
AfroCave
    • Bajeti
    • Kaunti
    • Kitaifa
    • Siasa
    • Shirika
    • Katiba
  • Bajeti
  • Utawala▾
    • Kaunti
    • Kitaifa
    • Siasa
  • Shirika
  • Katiba
Tafuta Katiba Tafsiri:
  • sw▾
    • English
    • Swahili

Mwanzo » Katiba » Sura ya Tatu - Uraia » Kifungu 13. Kudumisha Uraia na Kupata Uraia

Kifungu 13. Kudumisha Uraia na Kupata Uraia

(1) Kila mtu ambaye alikuwa raia punde tu kabla ya kuanza kutumika Katiba hii atadumisha hali ya uraia wake.

(2) Uraia unaweza kupatikana kwa kuzaliwa, au kujiandikisha.

(3) Uraia haupotezwi kwa sababu ya ndoa au kuvunjika kwa ndoa.

  • « Kifungu 12. Haki za Raia
  • Kifungu 14. Uraia kwa Kuzaliwa »

Makala Zaidi:

  • Sura ya Kwanza - Mamlaka ya Wananchi na Ukuu wa Katiba Hii
  • Sura ya Pili - Jamhuri
  • Sura ya Tatu - Uraia
  • Sura ya Nne - Sheria ya Haki
  • Sura ya Tano - Arthi na Mazingira
  • Sura ya Sita - Uongozi na Maadili
  • Sura ya Saba - Uwakilishi wa Watu
  • Sura ya Nane - Bunge
  • Sura ya Tisa - Mamlaka Kuu ya Serikali
  • Sura ya Kumi - Mahakama
Jifahamishe!

Jiunge na jarida letu kisha tufuate kwa mitandao ya kijamii.

Jarida

Usajili ni Bure!

Twitter

Tufuate Twita!

Facebook

Tupende Facebook!

  • Kuhusu
  • Wasiliana
© 2019-2022 AfroCave.