Ruka hadi Yaliyomo
AfroCave

Kifungu 4. Kutangaza Jamhuri

(1) Kenya ni Jamhuri huru.

(2) Jamhuri ya Kenya itakuwa Taifa la demokrasia ya vyama vingi lililobuniwa kwa misingi ya maadili ya kitaifa na kanuni za uongozi kama ilivyotajwa katika Kifungu cha 10.