Kifungu 261. Sheria Zinazohusiana na Matokeo
Bunge litatunga sheria yoyote inayohitajiwa na Katiba hii, itungwe ili kushughulikia jambo fulani.
Bunge litatunga sheria yoyote inayohitajiwa na Katiba hii, itungwe ili kushughulikia jambo fulani.
Masharti ya mpito na matokeo yanayoelezwa katika Mpangilio wa Sita yataanzwa kutekelezwa siku ya kuanza kutekeleza Katiba hii.
Katiba hii itaanza kutumika Rais atakapotangaza rasmi.
Katiba inayotumika kabla ya tarehe ya kuidhinisha Katiba hii, itabatilishwa kwenye tarehe hiyo.