Ruka hadi Yaliyomo
AfroCave

Kifungu 253. Ushirikishwaji wa Tume na Afisi Huru

Kila tume na afisi huru–

  • (a) ni asasi shirikishi iliyo na msururu wa urithi na muhuri wake; na
  • (b) inaweza kushtaki na kushtakiwa katika jina lake la kiushirika.