Kifungu 248. Utekelezaji wa Sura
Sura hii inahusu Tume zote zilizotajwa katika ibara ya (2) na afisi huru zilizotajwa katika ibara ya (3).
Sura hii inahusu Tume zote zilizotajwa katika ibara ya (2) na afisi huru zilizotajwa katika ibara ya (3).
Tume na wanaoshikilia nyadhifa za afisi huru wako chini ya Katiba hii pamoja na sheria.
Kila Tume itakuwa na angalau wanachama watatu, lakini wasiozidi tisa.
Mtu atakayesimamishwa kazi chini ya Kifungu hiki ana haki ya kuendelea kupokea nusu ya zawadi na faida ya afisi akiwa amesimamishwa kazi.
Kila tume, na anayeshikilia wadhifa wa afisi huru, ana mamlaka muhimu ya kupatanisha, kusuluhisha na kujadiliana ili kupata maafikiano.
Kila tume na afisi huru inaweza kushtaki na kushtakiwa katika jina lake la kiushirika.
Kila ripoti itakayohitajika kutoka kwa tume au anayeshikilia wadhifa wa afisi huru chini ya Kifungu hiki, itachapishwa na kutangazwa.