Kifungu 241. Kuundwa kwa Majeshi ya Ulinzi na Baraza la Ulinzi Majeshi ya Ulinzi yana wajibu wa kulinda na kutetea mamlaka na mipaka ya Jamhuri.