Kifungu 238. Kanuni za Usalama wa Kitaifa
Usalama wa Kitaifa ni ulinzi kutokana na vitisho vya ndani na nje ya mipaka ya Kenya.
Usalama wa Kitaifa ni ulinzi kutokana na vitisho vya ndani na nje ya mipaka ya Kenya.
Idara za uslama wa kitaifa zitakuwa chini ya mamlaka ya raia.
Baraza la Usalama wa Kitaifa litakuwa na mamlaka ya kusimamia idara za usalama wa kitaifa.