Kifungu 237. Tume ya Kuwaajiri Walimu Majukumu ya Tume ni kusajili walimu waliohitimu na kuteua na kuajiri walimu waliosajiliwa.