Ruka hadi Yaliyomo
AfroCave

Kifungu 224. Miswada ya Matumizi ya Fedha za Kaunti

Katika misingi ya mswada wa mgao wa mapato uliopitishwa na Bunge chini ya kifungu cha 218, kila serikali ya kaunti itaandaa na kutumia bajeti yake ya mwaka wa matumizi ya fedha, jinsi ulivyoandikwa katika misingi na utaratibu uliowekwa na sheria ya Bunge.