Kifungu 215. Tume ya Ugavi wa Mapato
Kutabuniwa Tume ya Ugavi wa Mapato.
Kutabuniwa Tume ya Ugavi wa Mapato.
Jukumu kuu la Tume ya Ugavi wa Mapato ni kutoa mapendekezo kuhusu ugavi unaozingatia usawa wa mapato yanayozalishwa na serikali ya kitaifa.
Baraza la Seneti litatoa mapendekezo kuhusu misingi ya kutumiwa katika ugavi wa mapato ya kitaifa yanayogawiwa kila serikali ya kaunti.
Bungeni kutawasilishwa mswada wa kugawa mapato, ambao utagawa mapato yaliyozalishwa na serikali ya kitaifa kwa serikali za kaunti.
Mgao wa mapato yaliyozalishwa na serikali ya kitaifa nchini utahamishwa kwa kaunti bila kucheleweshwa pasipo sababu na bila kupunguzwa,.