Kifungu 212. Ukopaji wa Kaunti Serikali ya kaunti inaweza kukopa iwapo– (a) Serikali ya kitaifa itadhamini mkopo huo; na (b) baraza la serikali hiyo ya kaunti limeidhinisha. «Nyuma Kifungu 211. Ukopaji wa Serikali ya Kitaifa Mbele» Kifungu 213. Udhamini wa Mikopo na Serikali ya Kitaifa Mwanzo » Katiba » Sura ya 12 » Sehemu ya 3 » Kifungu 212. Ukopaji wa Kaunti