Ruka hadi Yaliyomo
AfroCave

Kifungu 199. Kuchapishwa kwa Sheria za Kaunti

(1) Sheria za kaunti hazitaanza kutekelezwa hadi zitangazwe katika Gazeti Rasmi la Serikali.

(2) Sheria za kitaifa, na zile za kaunti zinaweza kupendekeza masharti zaidi kuhusu uchapishaji wa sheria za Serikali ya kaunti.