Ruka hadi Yaliyomo
AfroCave

Kifungu 198. Serikali ya Kaunti Katika Kipindi cha Mpito

Wakati uchaguzi unapoendelea ili kuunda bunge la kaunti kwa mujibu wa Sura hii, kamati kuu ya kaunti, ilivyoundwa mwisho bado inakuwa na umilisi na uwezo wa kuendesha shughuli za usimamizi hadi pale kamati kuu itakapoundwa upya baada ya uchaguzi.