Kifungu 193. Sifa za Wagombea Uanachama wa Baraza la Kaunti
Mtu atahitimu kugombea uanachama katika baraza la kaunti kama amesajiliwa kama mpiga kura.
Mtu atahitimu kugombea uanachama katika baraza la kaunti kama amesajiliwa kama mpiga kura.
Afisi ya mbunge wa baraza la kaunti huwa wazi kutokana na iwapo mbunge atafariki.
Baraza la kaunti ama kamati yake yoyote, lina uwezo wa kumwita mtu yeyote mbele yake ili kutoa ushahidi au habari zinazotakikana.
Baraza la kaunti litaendesha shughuli zake kwa uwazi, na kufanya vikao vyake na vile vya kamati zake mbele ya umma.
Wanachama wa baraza lolote la kaunti au wa kamati ya mamlaka kuu ya kaunti, wasiwe zaidi ya thuluthi mbili katika jinsia moja.
Wakati uchaguzi unapoendelea ili kuunda bunge la kaunti, kamati kuu ya kaunti ina uwezo wa kuendesha shughuli za usimamizi.
Sheria za kaunti hazitaanza kutekelezwa hadi zitangazwe katika Gazeti Rasmi la Serikali.
Bunge litatunga sheria katika masuala yote muhimu au ya lazima kuidhinisha utekelazaji wa Sura hii.