Kifungu 189. Ushirikiano wa Serikali ya Kitaifa na za Kaunti
Sheria ya kitaifa itatoa mwongozo na taratibu za kutatua mizozo kati ya Serikali kwa mbinu m’badala za kutatua mizozo.
Sheria ya kitaifa itatoa mwongozo na taratibu za kutatua mizozo kati ya Serikali kwa mbinu m’badala za kutatua mizozo.
Bunge litatunga sheria ili kuhakikisha kwamba serikali za kaunti zimepokea usaidizi wa kutosha kuziwezesha kutekeleza majukumu yao.
Kifungu hiki kinahusu mikinzano ya sheria kati ya sheria za kitaifa na zile za kaunti, kwa mujibu wa masuala yanayopatikana katika viwango vyote viwili vya Serikali.