Kifungu 186. Mamlaka na Majukumu Mahususi ya Serikali za Zaunti na Kitaifa
Mamlaka na majukumu ya Serikali ya taifa na zile za kaunti, mtawalia,ni kama yalivyoelezwa katika Mpangilio wa Nne.
Mamlaka na majukumu ya Serikali ya taifa na zile za kaunti, mtawalia,ni kama yalivyoelezwa katika Mpangilio wa Nne.
Mamlaka au majukumu ya Serikali katika kiwango kimoja yaweza kuhamishwa hadi kiwango kingine cha Serikali kwa makubaliano kati ya Serikali hizo mbili.