Kifungu 171. Kuundwa kwa Tume ya Huduma za Mahakama
Tume ya Huduma za Mahakama imeundwa.
Tume ya Huduma za Mahakama imeundwa.
Tume ya Huduma za Mahakama itahakikisha na kuimarisha uhuru na uwajibikaji wa idara ya Mahakama.
Kutabuniwa hazina itakayojulikana kama Hazina ya Mahakama ambayo itaongozwa na Msajili Mkuu.