Ruka hadi Yaliyomo
AfroCave

33. Urithi wa Taasisi, Ofisi, Mali na Madeni

Afisi au taasisi ambayo imeundwa chini ya Katiba hii ndiyo mrithi wa kisheria wa afisi au taasisi iliyokuwepo, ambayo iliundwa chini ya Katiba ya awali au Sheria ya Bunge iliyokuwa ikifanya kazi kabla ya tarehe ya kutekelezwa kwa Katiba hii, ikiwa itatambuliwa kwa jina lile au itapewa jina jipya.