Ruka hadi Yaliyomo
AfroCave

32. Malipo ya Uzeeni, Bahashishi na Marupurupu Mengine

Sheria inayohusu malipo ya uzeeni kwa mujibu wa maafisa wa afisi za kikatiba chini ya Katiba ya awali ama itakuwa sheria iliyotumika wakati marupurupu hayo yalitolewa au tarehe nyingine ya baadaye ambayo haitamwathiri vibaya mtu huyo.