30. Uraia Kwa Kuzaliwa
Raia wa Kenya ni raia kwa kuzaliwa iwapo amepata uraia chini ya kifungu cha 87 au 88 (1) cha Katiba ya awali.
Raia wa Kenya ni raia kwa kuzaliwa iwapo amepata uraia chini ya kifungu cha 87 au 88 (1) cha Katiba ya awali.
Majukumu ya Msimamizi wa Bajeti yatatekelezwa na Mkaguzi Mkuu wa Mahesabu hadi Msimamizi wa Bajeti atakapoteuliwa.
Sheria inayohusu malipo ya uzeeni kwa Katiba ya awali itakuwa sheria iliyotumika wakati marupurupu hayo yalitolewa.
Afisi au taasisi ambayo imeundwa chini ya Katiba hii ndiyo mrithi wa kisheria wa afisi au taasisi iliyokuwepo.
Hakuna chochote katika Kifungu cha 231 (4) kinochoathiri uhalali wa sarafu na noti zilizotolewa kabla ya tarehe ya kutekelezwa kwa Katiba hii.