Ruka hadi Yaliyomo
AfroCave

22. Kesi zilizo Mahakamani na Masuala Ambayo Hayajakamilishwa

Kesi zote zilizo katika mahakama yoyote zitaendelea kusikilizwa na uamuzi kutolewa na mahakama husika au mahakama ya kiwango sawa iliyoundwa chini ya Katiba hii au itakavyoelekezwa na Jaji Mkuu au Msajili wa Mahakama ya Juu.