Ruka hadi Yaliyomo
AfroCave

18. Mabaraza ya Miji

Mabaraza yote ya miji yaliyoundwa chini ya Sheria ya Mabaraza ya Miji (Kifungu cha 265) yaliyopo mara tu kabla ya tarehe ya kutekelezwa kwa Katiba hii, yataendelea kuwepo lakini kwa kutegemea sheria yoyote itakayoweza kuundwa.