Ruka hadi Yaliyomo
AfroCave

1. Ufasiri

Katika Mpangilio huu, isipokuwa tu muktadha uonyeshe vinginevyo–

  • (a) “Tume ya Mipaka” inamaanisha Tume Huru ya Muda ya Mipaka;
  • (b) “Tume ya Uchaguzi” inamaamisha Tume Huru ya Muda ya Uchaguzi;
  • (c) “Katiba ya awali” inamaanisha Katiba iliyotumika kabla ya Katiba hii kutekelezwa.