Kiapo ama Kukubali kuwa na Uaminifu kwa Rais wa Taifa/Kaimu Rais na Naibu Rais
Nitakuwa mwaminifu kwa Jamjuri ya Kenya, kwamba nitafuata, kuhifadhi, kutetea, Katiba ya Kenya.
Vifungu vya 74, 141 (3), 148 (5) na 152 (4).
Nitakuwa mwaminifu kwa Jamjuri ya Kenya, kwamba nitafuata, kuhifadhi, kutetea, Katiba ya Kenya.
Nakubali kwa dhati kuwa nitawatumikia watu wote wa Jamhuri ya Kenya kwa bidii katika afisi ya Rais.
Naapa ya kwamba na nakubali kwa dhati kwamba kila wakati Naibu wa Rais wa Jamhuri ya Kenya.
Ninayeteuliwa kuwa Waziri wa Kenya, ninakubali kwa dhati kwamba nitakuwa mwaminifu wakati wowote kwa Jamhuri ya Kenya.
Ninakubali kwa dhati kwamba sitafichua habari za shughuli yoyote, taratibu au nyaraka za Baraza la Mawaziri.
Nakubali kwa dhati kutumikia watu wa Jamhuri ya Kenya na kutekeleza haki bila mapendeleo kulingana na Katiba hii.
Ninathibitisha kwa dhati kwamba nitakuwa mwaminifu na mtiifu kwa Watu na Jamhuri ya Kenya.
Nakubali kwa dhati kwamba nitakuwa mwaminifu kwa watu na Jamhuri ya Kenya.